Thursday, 12 July 2012

Polisi anapohubiri dini akiwa na magwandaNchini Kenya kuna aina nyingi za polisi. Kuna polisi mmoja anayesifika kwa  kutunga muziki na kuimba akiwa na magwanda ya kazi. Juzi juzi ameibuka polisi mwingine aitwaye Isaiah Sakwa anayehubiri injili akiwa amevalia magwanda za kazi. Wengi wanajiuliza haya yangetokea nchi jirani ya Tanzania ambapo kuna dalili za uhasama wa kidini hali ingekuwaje? Je ni halali kwa polisi kuvaa magwanda na kuhubiri injili au kushiriki michezo ya kuigiza? Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: