tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post2142830502566949880..comments2024-03-28T12:20:46.812-07:00Comments on Free Thinking: Mkapa, Lowassa wameuona mchezo nje ya uwanjaNdugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-2429661982311412922010-12-24T09:26:18.646-08:002010-12-24T09:26:18.646-08:00Mt. Kitururu,
Nakubaliana nawe Mpingo ana bonge la...Mt. Kitururu,
Nakubaliana nawe Mpingo ana bonge la pointi. Ndiyo maana nimempa mbinu rahisi ya kuipata KATIBA YETU VIRAKA ya 1977.
Nitajitahidi kuibandika hapa.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-5137541281309954692010-12-24T07:56:40.010-08:002010-12-24T07:56:40.010-08:00@Mtakatifu Mpayukaji: Mpingo anapointi! Unajua nim...@Mtakatifu Mpayukaji: Mpingo anapointi! Unajua nimeuliza Watanzania wengi niwajuao na jibu nilipatalo ni kwamba hawajawahi hata kushika KATIBA mikononi?

Kuna kipindi wakati nasoma somo la uraia wakati mpaka tunanyambulisha katiba na MWALIMU ambaye kwa bahati mbaya hata jina simkumbuki kwa jinsi nilivyokuwa kijinga napuuzia somo lake na la SAYANSIKIMU ingawa najua alikuwa KADA mzuri WA CCM,...
....hata sikuelewa umuhimu wake mpaka baadaye kidogo nilipoondokana na shule hizo ,... ...ila siku hizi ndio kabisaa naona kuna umuhimu sana WA SOMO lijulishalo watu KATIBA na nahisi WACHAKACHUAJI watahakikisha hicho kitu hakifanyiki kwa kuwa haki ya nani hata wadaio KATIBA mpya hawazidi asilimia 15 katika wahitajio kura wawahitajio.:-(

Nawaza tu kwa sauti!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-36838978221090087652010-12-24T07:51:14.780-08:002010-12-24T07:51:14.780-08:00Mpendwa Mpingo,
Kupata katiba yetu viraka ni rahis...Mpendwa Mpingo,
Kupata katiba yetu viraka ni rahisi. Google katiba ya Tanzania itajitokeza na utasoma hata ukitaka ku-bookmark unaweza kufanya hivyo kirahisi tu.
Otherwise nashukuru kwa kutembelea kibaraza changu na kudondosha ujumbe.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-21766447109107844242010-12-23T22:31:59.543-08:002010-12-23T22:31:59.543-08:00Mpayukaji,
Hivi kuna uwezekano ukatuwekea soft co...Mpayukaji,

Hivi kuna uwezekano ukatuwekea soft copy ya katiba ya sasa kwenye mtandao wako? au itakuwa ni ukiukaji wa sheria.

Wengi sana tunaimba kuwa katiba ingaliwe upya lakini nikwambie kweli sidhani hata watanzania walioisoma katika ya sasa wanafika hata 1% ya 40+mill.

Hata watanzania walioelimika sidhani wanafika 5%.

By MpingoAnonymousnoreply@blogger.com