tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post2594198989458630449..comments2024-03-25T17:42:20.850-07:00Comments on Free Thinking: Kikwete anapouuza twiga akaahidi kutunza mbwamwitu!Ndugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-87899212965808395902015-05-22T17:15:06.766-07:002015-05-22T17:15:06.766-07:00Anon nimekupata kama amekaa madarakani kwa muda w...Anon nimekupata kama amekaa madarakani kwa muda wote huo na kazi yake ni kufanya madudu ukiachia mbali maisha yake binafsi kuwa aibu tupu utegemee nini baada ya kustaafu?Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-82643090240688957392015-05-22T00:55:45.027-07:002015-05-22T00:55:45.027-07:00Mwalimu Mhango, Nyngeza huyu mh... yupo madarakani...Mwalimu Mhango, Nyngeza huyu mh... yupo madarakani katika ngazi ya juu serikalini tangu mwanzoni miaka ya themanini isipokuwa katika!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-35263344614392748692015-05-21T08:37:24.584-07:002015-05-21T08:37:24.584-07:00Anon usemayo ni kweli. Ni ulevi wa aina yake kwa m...Anon usemayo ni kweli. Ni ulevi wa aina yake kwa mtu ambaye amekuwa madarakani kwa miaka kumi bila kufanya kitu kujiaminisha na kuuaminisha umma kuwa anaweza kufanya kitu baada ya kung'oka madarakani. Huu ndiyo unaoitwa usanii na ufisadi wa kimawazo. Ni uongo uliokithiri unaopaswa kutoaminiwa na kulaaniwa.Kama ulivyobainisha, letu ni kungoja kumuona komba wetu akikata usingizi baada ya kuanguka toka kwenhye mnazi anaodhani ni wake wakati si wake.<br />Shukrani kwa mchango wako na nadhani wahusika watasoma na kuchukia kama siyo kumfikisha ujumbe mhusika na genge lake. Tumemstukia hata hivyo.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-15937603695900239132015-05-20T15:43:02.326-07:002015-05-20T15:43:02.326-07:00Salaam,Mwalimu Mhango,
Imenibainikiwa wazi kwamba...Salaam,Mwalimu Mhango,<br /> Imenibainikiwa wazi kwamba kwa nchi yetu kumbe uongozi ni kama ulaibu wa pombe ya mnazi,komba atavyonza na kumaliza mzinga na akimaliza ucheza, husinzia,ulala na hata kuanguka wakati mwingi uanguka na bado anaamini kwamba mzinga ni wake kuliko mgema mwenyewe na katika hali hiyo usema chochote kile bila kujali kama atamkasirisha mgema au hapana na hata kama atamkasirisha mgema yeye anajua mzinga ni wake tu.Sasa ebu mwangalie huyu kikwete,mwanzo alisema atajikita katika kilimo mara hii kasema atajishughulisha na utunzanji wa wanyama,sasa kama si ulaibu wa pombe ya mnanzi ni nini?kwa nini alipokuwa madarakani asiyethabitihe hayo kwa vitendo?Kama ulivyofafanua katika makala hii?Wanaongea wasiyoyafana na wanayafanya wasiyoyaongea kwani wanajua tena kwamba watabaki tu kuwa hawana umuhimu wa kitaifa wala kimataifa zaidi ya kuitwa Rais mstaafu wakiendelea kutubeza kwa kula mafao yao ambayo huwa najiuliza kwani wameifanyia nini nchi hii mpaka wawe wanastahiki mafao hayo ya kutisha mpaka kifo chao?Na wakati walipokuwa madarakani ufisadi na wizi ndio ilikuwa sera yao ya utawala?Eh kumbe kikwete amefikia hata kusema kwamba watoto wa kike kupachikwa mimba ni KIHERERHERE chao?!!!Hivi je kama huyo ni mtoto wa kike ni wa kwake atakuwa kweli na ushujaa wa kumwambia kwamba ni KIHEREHERE chako?Ni kweli hapa ile methali ya kwamba aliyekuwa juu amuoni aliyekuwa chini ndiyo anayoifuata kiongozi huyu katika hili,Je kama si kulewa ulaibu wa pombe ya mnazi ni nini mpaka Rais wa nchi kuwa mwenye kutojali na kutofikiria kwamba maneno yake yatapokewa vipi na wasikilizaji wake je kwa nini asilipiganie na hili akistaafu urais kwamba kwa kuwalinda na kuwatetea watoto wa kike wenye KIHEREHERE cha kupachikwa mimba?Mwalimu Mhango,ebu tukubaliane nae kwa hoja ya mjadala kwamba anachongea hajalewa pombe ya mnanzi na ni mkweli kwa hayo anayoropoka,je hizo pesa za kupigania hayo anayoropoka zitatokea wapi?Zitatoka katika mfuko wake au tutaibiwa tena wananchi kwa kodi zetu kwa kufungua taasisi ya Rais mstaafu ya kulinda wananyama na ukulima?Tunajua wazi kwamba baadhi ya viongozi wa nchi zilizoendelea na hususa Marekani na matajiri wao huwa wanafungua taasisi zao kwa kuyapigania yale ambayo hawakuweza kuyapigania walipokuwa madarakani,sasa iwapo kama Rais kikwete atakuwa mkweli na pesa itatoka mfukoni mwake ya kufanya hayo anayoropoka na sio kutuibia wananchi kwa njia moja au nyingine,Mwalimu Mhango, udhani kwamba anastahiki pongezi na kuungwa mkono japo alifeli kutumia rungu lake alipokuwa madarakani?Wache tumpe nafasi ya kufanya hivyo kwani uwenda atatoa ajira kwa wananchi wake na kufanikiwa kwa kampeni zake za kulinda wanayama na hata huo ukulima pia uwenda ataisaidia nchi yake kujitegemea kwa chakula na kukidhi mahitaji ya soko la ndani ya nchi.Mwalimu Mhango, wache tumsubiri,,tumwangalia na kumfuatilizia kwa makini na tuone, lakini iwapo itakuwa ni ulevi wa pombe ya manazi(madaraka) imemzidi tutamuona pia akichenza,akisinzia na hata kuanguka na ataendelea kuropoka yaliyokuwemo na yasiyokuwemo kama Rais msataafu.Anonymousnoreply@blogger.com