tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post2712066898710657500..comments2024-03-25T17:42:20.850-07:00Comments on Free Thinking: Je ingekuwa kweli dunia ingekuwaje? TafakariNdugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-25439338514406332282010-12-23T11:24:28.560-08:002010-12-23T11:24:28.560-08:00Ulosema mkuu mwenzangu ni kweli. Na wala sina nyon...Ulosema mkuu mwenzangu ni kweli. Na wala sina nyongeza zaidi ya kusisitiza kuwa binadamu ni mnyama kuliko mnyama.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-83565223496725659082010-12-21T09:11:03.765-08:002010-12-21T09:11:03.765-08:00Kwani kuna tofauti gani kati ya binadamu na huyu? ...Kwani kuna tofauti gani kati ya binadamu na huyu? Huyu pengine hata akimudu kuitumia silaha hii ataitumia kwa kujitafutia chakula chake tu na si vinginevyo. Si kama binadamu ambaye anaweza kuua kwa ajili ya kujifurahisha tu...na hata kujilimbikizia mali za wizi kupindukia huku akiwaacha binadamu wenzake wakifa na njaa!<br /><br />Binadamu anaweza kuwa mnyama kuliko wanyama wengine wote!!!Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.com