tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post3098795994504118543..comments2024-03-28T12:20:46.812-07:00Comments on Free Thinking: Familia ya Mkapa kwenye kashfa nyingineNdugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-72868570734635962732012-04-18T18:31:20.973-07:002012-04-18T18:31:20.973-07:00Na bado mengi yatatokea na wataumbuliwa sana tu! N...Na bado mengi yatatokea na wataumbuliwa sana tu! Nakumbuka ule "mfuko" alioanzisha kuwasaidia wanawake wasiojiweza ilikuwa danganya toto. Kwani alikuwa anawasaidia walikuwa wanajiweza tu. Ule mfuko uliwapeleka watu maarufu kwenda kusoma kama vile akina Hoyce Temu na mdogo wake. Mfuko ulikuwa ni wa manufaa yao tu. Na huko Moshi mdogo wake ni yaleyale tu wana majengo kibao na mahospitali binafsi wanayomiliki.Anonymousnoreply@blogger.com