tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post3558463634411693946..comments2024-03-28T12:20:46.812-07:00Comments on Free Thinking: Unajihisi vipi unapokuta kuwa taasisi yako ya umma imeajiri watu kidini au kikabila?Ndugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-80785477821504322732013-12-15T10:49:09.908-08:002013-12-15T10:49:09.908-08:00Nchi iliyofilisiwa na udugu na kujuana kama Tanzan...Nchi iliyofilisiwa na udugu na kujuana kama Tanzania, ina matumaini machache sana ya kusonga mbele. Hata hivyo nafasi ipo. Kwani kama tunaona kuwa makamba alishindwa January ataweza kweli? nAPATA SHIDA hapa. Labda tukate matawi, yaani tuondoe majina ya Mwinyi, Kikwete, Wasira yaani tuanze upya! Lakini inawezekana? Hapana, lazima tukate mzizi tena tusiishie hapo tu, tukusanye mabaki yake yote kisha tuchome moto. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-38647633549324806512013-12-14T08:16:13.451-08:002013-12-14T08:16:13.451-08:00Anon, una usongo kweli kweli. Naona ufupisho wake ...Anon, una usongo kweli kweli. Naona ufupisho wake umegusa karibu kila kitu. Asante sana kuliona hilo hivyo. Tuililie nchi yetu inayozidi kumezwa na kansa ya udini ukabila wizi ujambazi, ufisadi, uvujaji, uzururaji na hata kulindana.<br />Anjela nakubaliana nawe. Kila uchao tunaona vituko. Imefikia mahali eti tunaambiwa nyumba ya vyumba vitatu inauzwa dola laki moja na ushei tena kwa kutaka wanunuzi walipe kashi kana kwamba pesa inadondoka toka mitini. Huu ni ushahidi tosha wa taifa la kifisadi na kijambazi.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-68872164491047274992013-12-14T08:14:39.688-08:002013-12-14T08:14:39.688-08:00Matokeo tunayaona kila siku inabidi baraza la mawa...Matokeo tunayaona kila siku inabidi baraza la mawaziri livunjwe.what a shameanjelahttps://www.blogger.com/profile/06210805893446023343noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-42962103149163579372013-12-14T07:01:43.160-08:002013-12-14T07:01:43.160-08:00Kufilisika kimawazo kunachangia kujihalalisha kupi...Kufilisika kimawazo kunachangia kujihalalisha kupitia imani na miujiza ili kupata washabiki wa wapiga kura mbumbumbu...na kuleta viongozi hovyo hovyo...watu hovyo hovyo tawala hovyo hovyo, maisha hovyo hovyo kila kitu shaghalabagalaAnonymousnoreply@blogger.com