tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post4344687623790307706..comments2024-03-25T17:42:20.850-07:00Comments on Free Thinking: Mitandao ya ujangili utetezi dhaifu wa Kikwete!Ndugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-62635132551507762502014-04-09T11:33:25.581-07:002014-04-09T11:33:25.581-07:00Anon na Jaribu mmeeleweka ingawa wahusika watajifa...Anon na Jaribu mmeeleweka ingawa wahusika watajifanya hamnazo na kuendelea na business as usual. Natamani jamaa hawa wasimame na kupinga madai ya The Mail on Sunday kwa hoja yakinifu na zinazoingia akilini. Hata hivyo ngoma nzito hawaiwezi zaidi ya kuwatumia makanjanja na wanywanywa kama Salva Rweyemamu kuharibu zaidi wakijifanya wanajibu.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-91279966676144972322014-04-09T05:02:13.394-07:002014-04-09T05:02:13.394-07:00Niwakumbushe tuu, Ndege kubwa kabisa ilikaa pale K...Niwakumbushe tuu, Ndege kubwa kabisa ilikaa pale Kilimanjaro International Airport majuma mawili, na [pia kuchukua wanyama pori wakubwa kabisa maumbile nao hawakuonekana. <br /><br />Eti anasema watu walioko ughaibuni kazi kukosoa tuu kwenye ma-blogu kwamba mambo kama haya je humsifie kwa jambo lipi hasa!!!?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-54665761628012877272014-04-08T18:21:25.045-07:002014-04-08T18:21:25.045-07:00Kikwete hawachukulii hatua kwa sababu anahusika kw...Kikwete hawachukulii hatua kwa sababu anahusika kwa namna moja au nyingine. Hayo mambo hayawezi kuwa yanafanyika bila baraka yake au manufaa yake. Hiyo "playing dumb" kwa ughaibuhi ni kitu cha kufedhehesha lakini kwa watanzania unapata watetezi wajinga, "Rais mwenyewe ni mtu mzuri lakini ni watendaji wake tu!<br /><br />Hey, hata na mimi nina orodha ya mambo mengi yanayompa Kikwete sifa mbaya, Ujangili, rushwa, uhaba wa ajira, umeme, maji, maadili, heshima ya nchi, uzembe, ubadhirifu, wizi, kutowajibika, safari zisizo na tija, mauaji ya wapinzani.......Jaribuhttps://www.blogger.com/profile/05113154740661719755noreply@blogger.com