tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post4983409857957973711..comments2024-03-25T17:42:20.850-07:00Comments on Free Thinking: Maisha Magumu, nani aliwaroga Watanzania?Ndugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-26832217320402476402011-07-24T15:41:46.015-07:002011-07-24T15:41:46.015-07:00Ni kweli kabisa watanzania tunajua kulalamika pemb...Ni kweli kabisa watanzania tunajua kulalamika pembeni lakini tukikutana na viongozi wenyewe tunanywea. Tunajua wazi kabisa mambo yanayotokea na hali mbaya ya uchumi lakini hakuna anayesema chochote.Bei za vitu zinapanda hakuna viongozi vilaza wapo kimya;kwa kuwa wanamudu maisha kwa kujilipa mishahara minono. Wakati watu wa kawaida hata mlo mmoja unawashinda kumudu. Inabidi tuamke sasa kwa kujifunza mambo ambayo anayotokea. Naamini kuwa watu wanaelewa na kuyaona mabaya ya viongozi wetu; ila wanapuuza. Ni wachache wanaotilia maanani sijui ni uoga ndio unaotusumbua. Au wengine wanauwezo wa kuelimisha jamii kwa kalamu zao instead wanapotosha baada ya kupewa kitu kidogo.Anonymousnoreply@blogger.com