tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post5293827921048468487..comments2024-03-28T12:20:46.812-07:00Comments on Free Thinking: Mlevi anusurika kufa kwa madawa ya kichinaNdugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-59943631471116857762015-05-09T19:46:24.430-07:002015-05-09T19:46:24.430-07:00Anon usemayo kweli na maswali yako ni ya msingi. K...Anon usemayo kweli na maswali yako ni ya msingi. Kimsingi, japa maswali yako ni mengi, naweza kuyapa jibu moja muhimu kuwa baada ya kun'atka akaja Mwinyi na sera zake za hovyo za ruksa ambayo kimsingi ndiyo mama wa maovu yote unayoona maadili nayo yaling'atuliwa azimio la wahuni akina Malecela la Zanzibar. Baada ya kuua maadili ulijengeka mfumo wa kijambazi ukisimamiwa na majamazi waliozalishwa na utawala mbovu wa Mwinyi. Huyu Kikwete unayemuona na nyang'au wenzake walitengenezwa na Kighoma Malima kwa kumtumia Mwinyi chini ya dhana mfu ya ku-empower waislamu. Naweza kukutajia majina ya watu vihiyo kuanzia majaji hadi wakuu wa mikoa na wilaya walioteuliwa si kwa sababu ya sifa nyingine zaidi ya dini. Wengi nimesoma nao, ni marafiki zangu nawajua nje na ndani.
Kwa hiyo hiki unachokiona ni matokeo ya kukosekana mfumo adilifu wenye maadili ya utumishi wa umma. Huu umekuwa wimbo wangu. Huku Ulaya kiongozi au mwananchi hawezi kuishi bila kujaza mapato yake kila mwaka ili kuona kama yanaendana na kipato chake halali. Ukosefu wa maadili nchini umezaa biashara ya mihadarati, uwekezaji chukuzi unaoongelea wa wachina kuuza mishikaki na hata miili. Ubaguzi iwe wa rangi au ajira unaoona ni matokeo ya kutawaliwa na watu wenye akili za kutia shaka. Wakati wa Nyerere tulikuwa na viongozi na baada hapo walikuja watawala na mafisadi wa kawaida. Ukosefu wa kujiamini kimkakati na kisaikoloji katika hali kama hii hakuepukiki hasa ikizingatiwa kuwa mwananchi halisi hana usalama wala pa kukimbilia anapopata matatizo. Kwa ufupi ni kwamba taifa letu limegeuka la kijambazi na kitapeli.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-1425693801571163362015-05-09T15:39:05.042-07:002015-05-09T15:39:05.042-07:00Salaamu Mwalimu Mhango,
Unaposoma vitabu hivi viwi...Salaamu Mwalimu Mhango,
Unaposoma vitabu hivi viwili vya Jonh Perkins,
1-Confession of Economic Hit man.
2-The Secret history of American Empire.
Na hatimae ukajaribu kufanya utafiti wa ndani na wa kina wa nini kinachoendelea katika nchi zetu za kiafrika ukiachilia mbali nchi zingine za ulimwengu wa tatu ambapo mwandishi ameweka wazi nini kilichojiri na bado kinajiri katika nchi hizo.Kwa maoni yangu mwandishi ametaka kutuliza dhamiri yake ambayo ilikua inamsuta na kumkaripia kwa maovu na ushenzi ambao unaofanywa na taifa la Marekani,pamoja na uwazi na ukweli huo lakini hali hakubadilika na haitobadilika kamwe.Mwalimu Mhango,maswali yanayojiuliza kwa nguvu hapa ni haya? Je baada ya kufa kwa Mwalimu Nyerere kwa nini madudu yote,machafu yote,ufisadi wote umeibuka kwa kasi sana katika nchi yetu?Je Kwa nini viongozi waliokuja baada ya Nyerere watuongoze kwa falsafa ya "MASILAHI YA FAMILIA YANGU NDIO MUHIMU KWANZA NA MASILAHI YA WANANCHI NA NCHI GO TO HELL?!!!"Kwa nini leo tuwe na wakimbizi wa kiuchumi Tanzania?Kwa nini leo Mtanzania anabaguliwa na kudharuliwa ndani ya nchi yake?Kwa nini mwananchi wa Tanzania hayupo salama kiakili na kisaikolojia?Kwa nini mwananchi wa Tanzania anahisi ni mgeni na hayupo huru katika nchi yake?Wachina,wahindi,waaarabu,waturuki,wazungu na wa Nigeria, hivi wote wana sifa ya uwekezaji?Na kwa nini wengine wanatoka huko wanapotoka na wafanyakazi wao?Hivi watanzania hawastahiki kupata ajira?Kwa nini leo mgeni katika kupata au kupewa ajira anaepewa kipau mbele kuliko mtanzania?Ikiwa leo ndio tumefikia mpaka madwa ya kienyeji yatoke China yalikua ya kweli au fake.wauza uroda nao ni wakigeni,karanga,nyanya mishikikaki inauzwa na wageni,wamachinga ni wakigeni na mengine mengi tu.Je ni kweli hawa viongozi hawajui nini majukumu yao mbele ya nchi yao na wananchi wao?Wametudanganya na kutwambia kwamba hii ni zama za Globalization na sisi tumeitika na matokeo yake ndi haya na kwa bahati mbaya ni umasikini wa watanzazia tuliokuwa nao lakini vinginevyo makampuni ya kuuza Humbuger yangejaa nchini kote na kutuharibia afya ya vijana wetu .Je viongozi wetu ni mataahira kiasi hiki?au ni sisi wananchi ndio mataahira?Mwalimu Mhango, hapa kuna namna moja au nyingine kwamba kuna kitu kimepita na bado kinaendelea kuwepo nyuma ya panzia na viongozi wetu wamekuwa wana sesere tu.Kwa hiyo kama wananchi wa Tanzania sio Mataahira,umeshafika wakati wa kuwakalia shingoni viongozi wao aidha waliokuwepo madarakani(CCM)au wakifanya mapinduzi ya na kukiweka chama kingine madarakani wawe na sauti ya nguvu na kukekemea kwa nguvu na hata kuchukua hatua zinazostahiki kuwaangusha na hata kuwatoa madarakani katika uchaguzi mkubwa au mdogo.Wakati wa kufanywa mataahira,mazuzu,majuha na wajinga umeshapita.Madaraka ni lazima yawe ya watu,kwa ajili ya watu na nchi na wala sio ya watu wachache na mbawana zao wakiwa wa ndani au wa nje.Tanzania hatuwezi tena kupata viongozi kama akina Julius Nyerere,Thomas sankara,Kwame Nkuruma na wengine wenye uchungu wa nchi na wananchi wao. Ni juu ya wananchi wenyewe kuwa na hadhari na viongozi wao kila kukicha.Anonymousnoreply@blogger.com