tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post5489969552890027192..comments2024-03-28T12:20:46.812-07:00Comments on Free Thinking: Hizi tuzo zingine kwa Rais Kikwete hapana Ndugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-37084833286571218892014-08-21T08:29:01.568-07:002014-08-21T08:29:01.568-07:00Anon usemayo ni kweli haswa ikizingatiwa kuwa Kikw...Anon usemayo ni kweli haswa ikizingatiwa kuwa Kikwete atabaki kwenye historia ya taifa letu kama rais bomu tuliyewahi kuwa naye. Mzururaji, mbabaishaji, msanii, mfujaji na asiyekuwa tayari kujifunza. Huyu jamaa ni balaa kwa taifa letu. Tuombe Mungu amalize ngwe yake na kutokomea huko aendako.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-85610789035468547642014-08-20T19:42:50.618-07:002014-08-20T19:42:50.618-07:00Makubwa haya Lakini Prof Lipumba alisema JK ni dh...Makubwa haya Lakini Prof Lipumba alisema JK ni dhaifu kwani walisoma wote huo kikuu cha DSM <br />CCM ni mafisadi huchagua viongozi dhaifu ili waandelee kupeta sitoshangaa mgombea Urais toka CCM mwakani ni chagua la Mifisadi Anonymousnoreply@blogger.com