tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post6092382458065250171..comments2024-03-28T12:20:46.812-07:00Comments on Free Thinking: Baraza "jipya" la mwaziri Kikwete arejesha mizigo yakeNdugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-4275942840616130272014-01-20T13:13:59.861-08:002014-01-20T13:13:59.861-08:00Anon una maanisha kuwa hatubadiliki kiasi cha kuwa...Anon una maanisha kuwa hatubadiliki kiasi cha kuwa na wimbo mmoja kama wa jogoo siyo? Nakubaliana nawe kwe vile hata ukiangalia kinachoitwa baraza la mabailiko halina madiliko zaidi ya maanguko. Nangoja kusikia CCM imeiba pesa nyingine kwa ajili ya uchaguzi. Nikiona hizo sura mbili yaani Nchemba na Malima sina raha.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-5333544220444962442014-01-20T08:34:10.592-08:002014-01-20T08:34:10.592-08:00Kuna wakati nilikuwa nasikiliza nyimbo ya Bendi ya...Kuna wakati nilikuwa nasikiliza nyimbo ya Bendi ya watu kutoka Kongo-Kinshasha(Mboga mbele, ugali nyuma-Keko Mahubusu wana Kibinda Nkoi) ni Mtu wa kutoka Taifa la Tuliopata uhuru karibuni sawa tuu huko Asia...

Basi huyu Bwana akaniambia hii ni kama wananchi wako na viongozi wake wote wanacheza hiyo Kibinda Nkoi.....Hii kauli inaendelea kuniumiza kila siku naposikiliza hizi nyimbo za uteuzi wa Mawaziri.

Kimsingi kutakuwa na taasisi mahususi kabisa ndiyo yenye matatizo makubwa yanayoleta shinda kupata watu/viongozi sahihi wazalendo wa taifa...

Maana hivi juzi nilikuwa nikisoma habari mitiani kidato cha pili mwaka 2012 kuhusu, hakuna hata mwanafunzi aliyefeli mitihani na matokeo yake hatutayaona. Lakini waziri husika wa wizara ya Elimu yupo kama kawaida....Anonymousnoreply@blogger.com