tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post6494933264523651386..comments2024-03-25T17:42:20.850-07:00Comments on Free Thinking: Kikwete: Suluhu ni bora kuliko rambirambiNdugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-52063095544863151362015-03-19T08:26:48.716-07:002015-03-19T08:26:48.716-07:00Anon usemayo ni kweli. Kama ukiwa na mtazamo wa ka...Anon usemayo ni kweli. Kama ukiwa na mtazamo wa karibu unaweza kuona anachofanya rais ni cha maana wakati si kweli. Kinachotakiwa hapa ni kuwa na mipango madhubuti ya kupambana na maafa. Pia kupambana na umaskini. Maana wahanga wangekuwa wamejenga nyumba bora madahara yasingekuwa makubwa kiasi hicho. Je kwenda kwa rais kuwajulia hali kumeondoa tatizo wakati juzi tumeona wakifunga barabara baada ya kusahaulika?Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-86133433982681859642015-03-19T01:21:54.809-07:002015-03-19T01:21:54.809-07:00hongera rais wetu umefanya jambo zuri sana bora mk...hongera rais wetu umefanya jambo zuri sana bora mkate nusu kuliko kukosa kabisa wewe ndio kiongozi bora katika africa nzima sijuwi ukiondaka wewe tanzania itakuwa vp<br />tuombe mungu tanzania ni nchi pekee yenye amani na au kuna anayebisha hilo Anonymousnoreply@blogger.com