tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post6647390308473349518..comments2024-03-28T12:20:46.812-07:00Comments on Free Thinking: Miaka zaidi ya 50 ya uhuru bado watawala bado wanatibiwa nje!Ndugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-91070050095372042632013-12-20T15:41:07.572-08:002013-12-20T15:41:07.572-08:00Anon usemayo ni ukweli ila yanauma na kusikitisha....Anon usemayo ni ukweli ila yanauma na kusikitisha. Bahati mbaya zaidi ni hawa hawa wasaliti na matepeli wanaotuaminisha kuwa wako madarakani kwa maslahi yetu wakati ni wizi na ujambazi mtupu. Hivi akifia mtu huko nje watu wakasherehekea waambiwe weanga siyo? May they perish.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-80476251390614827152013-12-20T11:42:03.383-08:002013-12-20T11:42:03.383-08:00hayo ndiyo maendeleo kwa viongozi waafrika tena wa...hayo ndiyo maendeleo kwa viongozi waafrika tena wanaona ni fahari kufanya hivyo wakati.

walalahoi wanatibiwa zahanati zile za Manzese kwa mfuga umbwa na Uwanja wa fisi bila kusahau,

Mgonjwa mhuhimbili hospitali kulazwa chini sakafuni ni sehemu ya adhabu ya kuugua.

Kule kwetu Mbagala ndiyo husiseme zhanati zetu ni hatari kwa afya maana kila kitu feki kuanzia jengo,daktari anayekutibu, dawa unazotumia.

Hii ndiyo sababu sisi(NN nawe unatokea huku??) kule kwetu mbagala tunatumia zaidi miti shamba na kupiga ramli.Anonymousnoreply@blogger.com