tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post6711966039923417569..comments2024-03-28T12:20:46.812-07:00Comments on Free Thinking: Ng'eee ng'eee ng'eee ndivyo nilivyozaliwa!Ndugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-67334176145951406792013-03-14T09:23:28.135-07:002013-03-14T09:23:28.135-07:00Asante sana bi Jessica nawe Mungu akujalie maisha ...Asante sana bi Jessica nawe Mungu akujalie maisha marefu na furaha na fanaka. Vipi mahajimati huko?Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-29849916241419198602013-03-13T15:00:22.375-07:002013-03-13T15:00:22.375-07:00hapi bathi day bwana kaka. maulana, akujalie maish...hapi bathi day bwana kaka. maulana, akujalie maisha marefu yenye furaha na fanaka, akujaze ujazike, na usiache kumcha mola wako siku zote ili akupe mioungo mingine minne

happy birthday and many more to comeAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/11322218112283020367noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-53983716898441921832013-03-12T10:39:40.242-07:002013-03-12T10:39:40.242-07:00Amen, Mhango! Tumetulia Texas ingawa macowboys na...Amen, Mhango! Tumetulia Texas ingawa macowboys na cowgirls wanatokea siku za sherehe tu. Umenifurahisha hapo kwa sababu nilipokwenda Uholanzi nilifikiri watu wengi watakuwa wanavaa makubazi ya mbao; kumbe siyo!Jaribuhttps://www.blogger.com/profile/05113154740661719755noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-75376799158863719872013-03-12T08:18:59.615-07:002013-03-12T08:18:59.615-07:00Mfuatiliaji Makini nakushuru kwa dua zako. Kadhali...Mfuatiliaji Makini nakushuru kwa dua zako. Kadhalika nakutakia maisha mema na umri vya kutosha na kukupa furaha na ridhiko la moyo.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-74541251681208222312013-03-11T22:25:51.734-07:002013-03-11T22:25:51.734-07:00Heri ya siku yako ya kuzaliwa. Ubarikiwe wewe na f...Heri ya siku yako ya kuzaliwa. Ubarikiwe wewe na familia yako pia uendelee kutuelimisha kwa njia hii hapa jamvini kwako.

By Mfuatiliaji MakiniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-91966855216539090812013-03-11T11:18:13.527-07:002013-03-11T11:18:13.527-07:00Nawashukuru Jaribu na da Yacinta. Keki da Yacinta ...Nawashukuru Jaribu na da Yacinta. Keki da Yacinta umepata. Chukua umma uhomole hapo hapo. Jaribu, kama ada, nakushuru ndugu yangu. Maana hata kama hatujawahi kuonana, tushakuwa ndugu. Nadhani kwa sasa Texas mnakula upepo kwa sana huku mkipata na jibini toka kwa ma-cowboys and cowgirls.
MBARIKIWE NYOTE nami nawatakieni heri na uhai mrefu na wenye neema, furaha na mafanikio.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-41712157342198199372013-03-11T10:57:21.323-07:002013-03-11T10:57:21.323-07:00Happy Birthday Ndugu Mhango! Utimize na miaka min...Happy Birthday Ndugu Mhango! Utimize na miaka mingi mingine!Jaribuhttps://www.blogger.com/profile/05113154740661719755noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-45184579544832135162013-03-11T10:49:46.198-07:002013-03-11T10:49:46.198-07:00Oh! samahani nilisoma vibaya kumbe umeandika unaka...Oh! samahani nilisoma vibaya kumbe umeandika unakaribia kuifia miaka 50 na sio leo..hahahaaa naona nahitaji miwani...HONGERA TENA KWA KUTIMIZA MIAKA 48..KEKI HIYO USININYIMA NIRUSHIE NA MIMI...lolYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-23730632903499562412013-03-11T10:15:08.727-07:002013-03-11T10:15:08.727-07:00Shurani da Yacinta ingawa sijatimiza miaka 50. Nat...Shurani da Yacinta ingawa sijatimiza miaka 50. Natimiza miaka 48. Mungu akubariki nawe na familia yako pia.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-76642923804009222282013-03-11T10:09:14.988-07:002013-03-11T10:09:14.988-07:00Hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa na hasa kut...Hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa na hasa kutimiza miaka 50 Mwenyezi Mungu ashukuruwe sana ..Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com