tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post6984513184628227440..comments2024-03-28T12:20:46.812-07:00Comments on Free Thinking: Kafulila asipoacha tamaa na papara atafulia kila aendakoNdugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-78515753084945378052011-12-19T15:15:58.761-08:002011-12-19T15:15:58.761-08:00Mwalimu Matondo karibu sana na pita tena na tena. ...Mwalimu Matondo karibu sana na pita tena na tena. Mchango wako unaonyesha unavyochukia uchumia tumbo. We need to tell them bitter truth even when they hate to hear it. Kafulila kwangu hakuwa mwanasiasa bali an accidental one kama rafiki yake Zitto. Tungoje tuone Zitto atatimiza ahadi yake ya kugombea urais 2015 bila chama cha kutaifisha na kudandia.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-73382564004425205832011-12-19T09:40:00.544-08:002011-12-19T09:40:00.544-08:00Mtu unapokuwa huna utashi, ajenda na msimamo basi ...Mtu unapokuwa huna utashi, ajenda na msimamo basi unageuka mshibisha tumbo tu, mbinafsi, mbishi na LOSER.

Wanasiasa hawa malaya wanaohangaika na kuhamahama kutoka chama kimoja kwenda kingine daima wana matatizo.

Inawezekana Kafulila wa watu Kafulia kweli....

Mwalimu:

Nilikuwa napita hapa kusema kwamba sasa nimerudi tena rasmi. Tupo pamoja !!!

http://matondo.blogspot.com/2011/12/wanablogu-wenzangu-na-wapenzi-wote-wa.htmlMasangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-9248100061679275712011-12-18T23:52:33.739-08:002011-12-18T23:52:33.739-08:00Nani kasema wanasiasa wa aina ya kafulila wanamuvu...Nani kasema wanasiasa wa aina ya kafulila wanamuvuzishwa na agenda? huwa kama zipo basi ni zao na ni undeclared!

,Anonymousnoreply@blogger.com