tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post7023704600689807221..comments2024-03-28T12:20:46.812-07:00Comments on Free Thinking: Kijiwe chastukia wanaojitia kuombea kayaNdugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-48870783450764966712015-12-31T10:29:57.745-08:002015-12-31T10:29:57.745-08:00Anon nashukuru kwa mchango wako. Utashangaa hawa w...Anon nashukuru kwa mchango wako. Utashangaa hawa wanaotaka kuombea nchi na rais hata marehemu wazazi wao hawawaombei. Ni mbwa mwitu wanaojivika ngozi ya kondoo ili kurarua kaya. Nadhani walipoona yule tapeli wa kinigeria TB Jushua amekaribishwa kwenye sherehe za kuapa makufuli wakajua udhaifu wake hivyo nao wakataka wawe karibu nao ili kuendeleza ushirikina na ujambazi wao. Walaaaniwe weanaotaka kutuombea wakati hawafanyi kazi zaidi ya kuibia waumini wao maskini na wajinga.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-81867106267347594532015-12-30T08:30:38.572-08:002015-12-30T08:30:38.572-08:00Mwalimu shukrani kwa kutujulisha kuwa hawa wadudu ...Mwalimu shukrani kwa kutujulisha kuwa hawa wadudu mafisa wanataka kuingia kwenye mlango ma-padlocks na kilaji kirahisi kwa unafiki waaambie hapa mageti yote yamefungwa kazi tuu sasa<br /><br />Mafisadi wanapomwombea ili kujenga ukaribu na tabia zao kifasadi kwa kivuli cha Imani....waambie hao wanakweenda waeenda kwa mwenzao kule kule kijijini kwake maana hawa ndiyo ilikuwa tabia yao wakatengenezewa ulaji kutoka kwa awafikiria kutoka tumboni angalia hii link http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/petition-ya-watanzania-uk-kupinga-vikali-utaratibu-mpya-wa-ukaguzi-magariAnonymousnoreply@blogger.com