tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post7854216874069817580..comments2024-03-28T12:20:46.812-07:00Comments on Free Thinking: Kijiwe chakumbushia Escrew, Lingumi na UDANdugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-64594273224070707552016-08-10T21:10:51.532-07:002016-08-10T21:10:51.532-07:00Anon, sitaki nivuruge mawazo yako na uchambuzi wak...Anon, sitaki nivuruge mawazo yako na uchambuzi wako wa kifungu hadi kifungu. Japo mambo yameandikwa kilevi, yana ukweli unaoogopewa na wengi. Naweza kusema kwa ufupi kuwa nakubaliana nawe kuwa kama Magufuli ataendelea kuwakingia kifua wastaafu na magenge yao ya ujambazi, ataishia kuambukizwa majibu badala ya kuyatumbua. Siku nikipata fursa nitaizamia hii kwa utuo kama ulivyozamia makala hii.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-23678947499343033522016-08-10T14:18:14.892-07:002016-08-10T14:18:14.892-07:00Mwalimu Mhango,
Katika ufunguzi wa makala yako hii...Mwalimu Mhango,
Katika ufunguzi wa makala yako hii umeandika:"Baada ya kufumka kashfa funga kazi kwenye utwahuti sorry utawala uliopita baadhi zikwa ni Escrew, Lingumi na UDA, na kunyamaziwa, wengi walidhani ujio wa dokta Kanywaji Joni Makufuli kungefanya mambo tofauti na upuuzi uliopita. Kadri siku zinavyozidi kuyoyoma na wachovu kusahaulishwa, kuna kashfa zinaonekana kuanza kuminywa kinamna kama siyo kufichwa ili wachovu wasahau kabisa waendelee na madili""

Kwa uhalisia wa mambo katika nchi ya kwetu ambayo iekuwa katika ufisadi kwa miaka yote hii 30 naamini kabisa kwamba wakubwa wote walioshiriki kuifisadi nchi yetu watampa magufuli wakati mgumu katika utekelezaji wake huo wa kupambana na ufisadi na mafisadi kwa hiyo mbinu hii ya kisiasa inaweza ikatumika ya KUWASAHAULISHA WACHOVU NA KUMINYWA KINAMNA na hatimae kuanza kufifia kabisa kwa kashfa hizo na hatimae kubaki tu katika historia ya nchi yetu kwani kutakuwa na watu ambao watapewa maelekezo ya kuhakikisha kwamba kasha hizo haziibuliwi tena kisiasa aidha watu hao wakiwa wa vyombo vya habari,waongeaji wa kisiasa katika majukwaa mbali mbali tukiachia vyama vya upinzani ambao watachukuliwa tu kwamba wanapiga makelel ya mbwa ambayo hayawezi kuisimamisha garimoshi la CCM lenye mabehewa ya kashfa hizo kuendelea na safari yake.
Na hadhari aliyoihadharisha Mipawa pale aliposema
“Hata hii imenishangaza. Huu ni ushahidi na motisha kwa dokta Kanywaji kuwa kazi iliyoko mbele yake ni pevu kweli kweli. Kwani, wengi waliomzunguka ni wale wale walioifikisha kaya hapa""
Kwa hadhari hii Rais wetu anatakiwa kuwa na hadhari kubwa kwani watu hao watampa wakati mgumu Magufuli kuitekeleza kazi yake kwani bado wao wapo royal zaidi kwa maboss wao kuliko boss waliekuwa nae sasa.Na tuzidi kumuombea Magufuli wepesi wa utekelezaji wa kazi yake hii ambayo ina bahari saba sama walivyosema wahenga.Anonymousnoreply@blogger.com