tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post8339650294303029564..comments2024-03-28T12:20:46.812-07:00Comments on Free Thinking: Hivi huyu mi mzima kweli? wake 107 watoto 185!Ndugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-1662454181383015652011-05-13T14:04:45.791-07:002011-05-13T14:04:45.791-07:00Iko hatari ya kuzaa katika umri mkubwa (kwa jinsi ...Iko hatari ya kuzaa katika umri mkubwa (kwa jinsi zote mbili) watoto wakazaliwa na matatizo ya kiafya hasa ya mtindio wa ubongo (uzezeta). Elimu ni silaha muhimu na dira maishani. Anayeyafahamu haya, hatathubutu kumleta kiumbe duniani katika kumri huo kwa kuwa ataishia kuwa mzigo. Lakini pengine nakosea kwa kuwa yeye kasema, anasikia sauti ya Mungu ikimwelekeza hivyo, basi akili yangu ya darasani na uzoefu katika maisha kuhusu watoto wanaozaliwa na wazazi wazito haina maana kwa huyu na wengine wote wanaowasiliana na Mungu/Mola moja kwa moja, basi tu, pengine itawasaidia wengine ambao network yao na Mungu imekata.Subi Nuktahttps://www.blogger.com/profile/01076447163143596978noreply@blogger.com