tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post8406950293917241805..comments2024-03-25T17:42:20.850-07:00Comments on Free Thinking: Mkapa: Usemayo kweli japo nyani haoni ...?Ndugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-66624204093728581212013-11-28T08:19:48.857-08:002013-11-28T08:19:48.857-08:00Ni kweli Mkapa anaishi kwenye sayari nyingine iitw...Ni kweli Mkapa anaishi kwenye sayari nyingine iitwayo ukwasi hata kama imezungukwa na bahari ya ukapa na umaskini. Anafanya hivyo kwa vile analindwa na Jakaya Kikwete kwa vile lao moja. Mara hii imesahau walivyoshirikiana kutengeneza EPA iliyomsaidia Kikwete kuwahonga wapiga kura?Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-78224073820240181972013-11-28T01:02:22.357-08:002013-11-28T01:02:22.357-08:00Mimi huwa na mashaka makubwa na uwezo wake wa uele...Mimi huwa na mashaka makubwa na uwezo wake wa uelewa na kujitambua huyu Bwana wakati anapoongelea Tanzania. Nyakati amaekuwa akiongelea Tanzania kama vile yeye anaishi sayari nyingine vile!Anonymousnoreply@blogger.com