tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post8576678586777230799..comments2024-03-28T12:20:46.812-07:00Comments on Free Thinking: Hatuna tofauti na mende waishio gizaniNdugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-1499319206917529432011-01-07T06:46:21.257-08:002011-01-07T06:46:21.257-08:00I agree with you Jaribu. Ivi at what point do peop...I agree with you Jaribu. Ivi at what point do people in Tanzania say basi inatosha!!! Kweli tunanyanyaswa kiasi hiki na watu wachache?? Hakuna njia kabisa ya kustop hawa watu. When do we say enough is enough? Itafika mahali mtu unauzwa na familia yako mkiwa ndani ya nyumba. It is time tutafakari how did we get here and where are we going from now.Oh Tanzania what a lost nation!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-76243977225465057922011-01-06T22:17:01.516-08:002011-01-06T22:17:01.516-08:00Shida ni Waswahili tuna uoga na shauku ya kuabudu....Shida ni Waswahili tuna uoga na shauku ya kuabudu. Kila mtu anavunga kufa mpaka jamaa wamepata fursa ya kutengeneza hati za kusajiliwa Dowans. Eti Dowans SA ya Costa Rica, (mailbox address no doubt), Singapore, Mhindi Mmoja na Mkenya. Hao serikali ndio waliona wana uzoefu wa kuzalisha umeme. Halafu wanasema kuwa watawalipa anyway. The arrogance na unmitigated gall ya hawa jamaa ni inexplicable. Ni kama wanawathubutisha wananchi, "Sasa mtatufanya nini?"Jaribuhttps://www.blogger.com/profile/05113154740661719755noreply@blogger.com