tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post8703661093057640431..comments2024-03-28T12:20:46.812-07:00Comments on Free Thinking: Nimeipenda hii kituNdugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-49124500080078036132014-11-06T14:46:54.182-08:002014-11-06T14:46:54.182-08:00Anon si kwamba vichwa havipo. Vipo vingi sema vime...Anon si kwamba vichwa havipo. Vipo vingi sema vimezimwa iwe ni kwa kuuawa au kwa kuhujumiwa visisogee mbele. Kuna watu wana vichwa vinavyochemka lakini hawana uchungu na nchi zao. Ni waroho na walafi wenye roho mbaya kuliko hata fisi. Wako tayari kuwauza hata mama na baba zao ilmradi lao litimie. Nadhani hiki ndicho chanzo cha msiba wetu kama waswahili.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-90741710054206784272014-11-06T14:41:41.315-08:002014-11-06T14:41:41.315-08:00Tungewezaa kupat vichwa kama hivi angalau 2000 tuu...Tungewezaa kupat vichwa kama hivi angalau 2000 tuu afrika ingebadilika kuwa na maendelea vitendo siyo hadithi na mitutu inayoendlea kushikiria wahalifu...kama anavyoelezea hapa Professor Patrick Loch Otieno Lumumba<br />https://www.youtube.com/watch?v=4cbEuwqKKqEAnonymousnoreply@blogger.com