tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post8850374283070477880..comments2024-03-28T12:20:46.812-07:00Comments on Free Thinking: Sasa nimeanzisha Mpayukaji Trust Fund (MTF)Ndugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-29888736377597176052011-07-25T22:40:58.342-07:002011-07-25T22:40:58.342-07:00Naona wabongo hawapati mambo ya tongue-in-cheek. ...Naona wabongo hawapati mambo ya tongue-in-cheek. Sarcasm inaharibika ikibidi uwachambulie wasomaji.:-)

Naona mumewe Mwanaidi anamwiga mtangazi mmoja anayekusanya mchango wa madawati kupeleka Malawi. Tofauti ni kwamba huyu ana moyo na nia njema, wakati Bwana Maajar anafanya mradi. Hata Membe anasema BAE wawarudishie hela za radar wanunue mamilioni ya madawati.Jaribuhttps://www.blogger.com/profile/05113154740661719755noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-60227677301117220752011-07-21T22:25:44.219-07:002011-07-21T22:25:44.219-07:00Ni kijembe ndugu yangu kwa wanaoanzisha NGO na Tru...Ni kijembe ndugu yangu kwa wanaoanzisha NGO na Trusts kwa ajili ya kuibiwa wabongolalanders kama alivyofanya mumewe Mwanaidi Majaar huko New York baada ya kuona anageuka kula kulala kwa mkewe ambaye naye ni tunda la EPA.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-70932993784207250212011-07-21T21:27:06.662-07:002011-07-21T21:27:06.662-07:00Kwa jinsi unavyochukia ufisadi sidhani kama utapen...Kwa jinsi unavyochukia ufisadi sidhani kama utapenda kuwa na harufu ya ufisadi ndani mwako!malkiory matiyahttp://www.malkiory.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-59089390177084459212011-07-21T15:12:08.242-07:002011-07-21T15:12:08.242-07:00Lakini mbona trust fund ni kitu kingine kabisa huk...Lakini mbona trust fund ni kitu kingine kabisa huku?..Trust fund huku wataelewa unakusanya hela kwa wanao ya baadaye. Unafungua trust fund ili kiasi fulani kiwekwe huko ili mwanao akifikia miaka fulani basi ndio anaruhusiwa kuchukua. Na turst fund wanafungua mamilionear kwa vile inahitaji lawyers and the whole workds. Chairman ni kama appointed person anayesimamia hiyo hela iwapo utaondoka hapa duniani kabla mwanao hajafikia huo umri uliotaka aanze kuchukua share yake basi hao watu ndio watashughulikia jinsi ya kuinvest hiyo hela.

Siku hizi wajanja nao hela imekimbia hivyo mabakuli hayapiti hovyo kama zamani...

Just give you a little hint before you get disappointed.

Kupiga box la mitaani muhimu ukija huku. Utajivunga mwaka wa kwanza lakini baada ya plan A kukimbia plan B ni box la mtaani. Hivyo usilionee aibu kuliko kupoteza muda ukifika tu anza networking. Kama huko unabeba briefcase na kufunguliwa milango ya gari we jifanye hukupitia hivyo vitu ukija huku kama unataka kama unataka hela. Ukijivunga basi subiri mwaka aibu za kibongo zikiisha utalisaka peke yakoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-64334201674211410602011-07-21T09:04:44.505-07:002011-07-21T09:04:44.505-07:00Bwana Malkiory niponge leo kesho unilaumu. Kimsing...Bwana Malkiory niponge leo kesho unilaumu. Kimsingi uamuzi wangu ni wa kizalaji zi kizalendo. Mie ni mlaji si mzalendo hata chembe. Wengi wamenipongeza kama walivyompongeza Majaar wasijue nyuma ya pazia ni ulaji kama kawa!Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-34885795922440569002011-07-21T07:17:18.362-07:002011-07-21T07:17:18.362-07:00Hongera sana Mhango, huo ni uamuzi wa busara na wa...Hongera sana Mhango, huo ni uamuzi wa busara na wa kizalendo.malkiory matiyahttp://www.malkiory.comnoreply@blogger.com