tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post2306932473266695797..comments2024-03-28T12:20:46.812-07:00Comments on Free Thinking: Je ndugu Reginald Mengi anajua dhuluma inayofanyika kwenye magazeti yake? Ndugu Nkwazi N Mhangohttp://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-7829919171857339172018-01-18T06:27:22.137-08:002018-01-18T06:27:22.137-08:00Ndugu Anon.
Shukrani kwa uliyonijuza. Nitayafanyia...Ndugu Anon.<br />Shukrani kwa uliyonijuza. Nitayafanyia kazi.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8636874348650313883.post-14998463690440235182018-01-16T18:29:40.946-08:002018-01-16T18:29:40.946-08:00Inaonekana tangu uhamie ughaibuni umesahau mauzauz...Inaonekana tangu uhamie ughaibuni umesahau mauzauza ya matajir wetu uchwara. Nimjuavyo Mengi si tajir wa haki . Laiti siri na ufisadi wa awamu ya mzee ruksa vingemfumliwa, Mengi angebaki bila nguo. Si kama alivyo. Tangu Magufuli aingie madarakani mafisadi na wapigaji wengi wanabangaiza na kuungaunga huku wakiwaibia msiowajua kama nyinyi. Pia kuna uwezekano hao wahariri wako wakawa ndiyo wezi wako. Pole sana kaka yangu. Hiyo ndiyo bongo yetu iliyobakia.Anonymousnoreply@blogger.com