Karume alihudhuria mkutano wa marais wastaafu wa Afrika kama nani?
Amani Karume anaonekana akiwa na marais wastaafu. Je kisheria Karume ni rais mstaafu anayepaswa kupewa hadhi sawa na waliowahi kuwa wakuu wa nchi yaani heads of State? Je walioandaa mkutano huu hawakuliona hili au ni yale yale mambo ya kiafrika kujiendea kiushikaji na kienyeji?
Marais wastaafu Afrika waliohudhuria mkutano wao Afrika Kusini ukiongozwa na Balozi wa zamani nchini Tanzania Bwana Charles. Mwinyi (Tanzania), Mkapa (Tanzania na Karume (? Thabo Mbeki (Afrika Kusini), Obasanjo (Nigeria), Banda (Zambia), Pedro (Cape Verde), Soglo (Bernin). Hata hivyo Ketumile Masire (Botswana), Joachim Chissano (Msumbiji), Alpha Konare (Mali), Bakili Muluzi (Malawi), Pasteur Bizimungu (Rwanda) na Abdulaye Wade (Senegal) hawakuhudhuria mkutano huu.
Kama Rais Mstaafu Wa Zanzibar
ReplyDeletewe mwenye hii Blog mbona unaifata fata sana Zanzibar yetu imekukosea nini? inaonekana huna chakuandika.hasira zako zipo kwa viongozi wa CCM tu?
ReplyDeleteAna ajenda zake za siri huyu hana lolote
ReplyDeleteKwa sababu ni nchi yangu. Mbarikiwe na karibu tena.
ReplyDelete