I Fear Nothing But Fear Itself
Wednesday, 27 May 2026
Twachukia mabeberu, kupenda, na kufanya ubeberu!
›
T okana na ufyatu, leo naja kifalsafa kama mwanafalsafa nguli ambaye hajawahi kutokea isipokuwa mimi. Sipigi pembeni wala kuzungusha. Leo ni...
Mafyatu kuandamana kupinga kuhalalishwa upigaji
›
J uzi, baada ya kuupiga mma na ndumu kisawasawa si nikalikoroga likakorogeka, kunikoroga, na kuwakoroga Mafyatu wangu niliodhani mafala nisi...
Wanawake wa Kitanga, hakuna libwata
›
W engi tunaamini walishasikia mengi kuhusiana na wanawake wa Kitanga. Tunaposema wanawake wa Kitanga, lazima tukiri kuwa Tanga ina makabila ...
Monday, 18 May 2026
Ndoa ni mwili mmoja wenye vichwa viwili na si kimoja
›
M ke na mume wote wanapaswa kuwa vichwa vya ndoa. Hii ni kutokana na ukweli kuwa ni vichwa hivi pekee vinavyounda taasisi hii tena kwa haki ...
Thursday, 14 May 2026
Judge Chande Commission: Congrats President Samia on eye opener
›
I won’t beat around the bush. I heard President Samia Suluhu Hassan honestly and succinctly saying that the reports of the Judge Chande Co...
Wednesday, 13 May 2026
Turidhiane, kuridhika bila kulidhishana?
›
Mara nyingi kama siyo mara zote, mafyatu hujifanya wanasiasa na kufanya visasi waviitavyo siasa utadhani nao ni wanasiasa! Uongo huitwa uo...
Wednesday, 6 May 2026
Fyatu aunda timu kujichunguza na kuwachuuza mafyatu
›
Baada ya mafyatu kufyatuka na kunichosha kwa kunisingizia baadhi ya mambo, nina mpango wa kuunda na kutumia timu–––siyo tume–––ya kujich...
Wednesday, 29 April 2026
Fyatu kufyatua mafyatu wanaofyatukafyatuka kumkosoa
›
Juzi, si nilifyatua uteuaji na utenguaji. Katika kufanya hivyo, si nikampa ulaji swahiba yangu mgoshi Machungi aka blackbox yangu. Acha ma...
Saturday, 25 April 2026
My New Baby on Coups Resurgence in Africa
›
Publisher: Mwanaka Media and Publishing, Zimbabwe Pages: 285 Year: 2026 Category: African Studies Dimensions: 210×148 mm ISBN: 97817793...
Sunday, 19 April 2026
Letter from Canada to Besigye, Kyagulanyi, and Museveni
›
Dear esteemed leaders, May I humbly address you as real men on whom all Ugandans’ eyes are. I beseech you to face it and do the right thin...
Waopanga au kutamani kuoa au kuolewa majuu wajue
›
Hivi karibuni, kumetokea visa vya kusikitisha tena vya kinyama. Jamaa waliohama Afrika wakitegemea kuukata ukaishia kuwakata. Wanaume hawa w...
Thursday, 16 April 2026
Is Iran war the beginning of the end of Hegemonia Americana?
›
The United States has dominated the world soon after the world war after unseating the British empire. Ever since, the US has ruled the worl...
‹
›
Home
View web version