Tuesday, 24 July 2012

Monsinyori afungwa kwa kuzaidia mapadre kunajisi


Monsignor William Lynn in March 2012
Ingawa miaka mingi imepita tangu kashfa ya uzinzi na unajisi kwenye kanisa la Katoliki ifumke, wengi wa waliotuhumiwa waliweza kupotea kimya kimya bila kufungwa. Monsinyori William Lynn wa Marekani amefungwa kwa miaka kuanzia mitatu hadi sita kwa kusaidia na kuficha visa vya uzinzi vya mapadre waliokuwa chini yake. Akiwa msimamizi wa mamia ya mapadre kwenye jimbo la Philadelphia alikokuwa katibu wa Dayosisi, Lynn anakuwa kiongozi wa kwanza wa juu kufungwa kwa kosa hili. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

4 comments:

  1. Basi hilo ni zoezi zuri tunaomba lije na Tanzania
    kina Dr silaha tuwatie ndani na wao

    ReplyDelete
  2. Hii ingeenda mbali hadi kushuhulikia marais wazinzi kama Jaaakaya. Basi hilo ni zoezi zuri lije Tanzania na akina JK tuwatie ndani.

    ReplyDelete
  3. Kabla hawajashika Urais bora tuwatie ndani kwa kutupa familia na mke.
    Ili iwe funzo kwa watu kama wao.
    Isije kusema hatukusema kabla IKULU kugeuzwa nyumba ya machakubanga

    ReplyDelete
  4. Mimi nafikiri Ikulu tayari ni nyumba ya machakubanga, pamoja na kuwa kuna mke ndani na vimada wengi nje kede kede.

    ReplyDelete