Monday, 6 August 2012

Huyu ng'ombe mali kweli kweli

2 comments:

  1. Kwanini? kwani ngómbe wengine sio mali?

    ReplyDelete
  2. Lol! Nimeishawachoza wataalamu wa lugha! Nilitaka kumaanisha kuwa anavutia. Ng'ombe wote si mali hata hivyo. Hivi ng'ombe aliyebakia mifupa kama serikali ya Jakaya naye mali da Yacinta?

    ReplyDelete