Free Thinking

I Fear Nothing But Fear Itself

Sunday, 12 August 2012

Kurudi kwa Dk Ulimboka sawa je wabaya wake hawatammaliza?


  1. Watanzania wapenda amani na haki walifurika kwa furaha kumlaki shujaa wao Dk Steven Ulimboka anayesemekana kutekwa, kuteswa na hatimaye kujaribu kuuawa na wale aliodai walitumwa na ikulu baada ya kuonekana kuwa mwiba kwa serikali wakati wa mgomo wa madaktari. Ingawa ni haki yake kurejea nchini, kuna haja ya kujiuliza maswali kidogo kuhusiana na hili. Je wabaya wake hawatataka kummaliza ili kukwepa kuumbuliwa? Je ana hakikisho gani la usalama? Je ni busara kurejea bila haki kutendeka? Kwa Tanzania ilivyogeuka nchi ya utawala wa hovyo, blog hii ina wasi wasi na usalama na maisha ya Ulimboka. Maana akina Ramadhan Ighodu na Jack Mughendi Zoka bado wapo na waliowatuma wapo na wanajulikana kwa kulipiza visasi. Time will surely tell.
Ndugu Nkwazi N Mhango at 09:58

1 comment:

  1. anjela12 August 2012 at 11:53

    hata wakimmaliza ukweli unajulikana,hao ccm cku zao zinahesabika hilo liko wazi check walivyong'aka kuona chadema imechangiwa na wananchi

    ReplyDelete
    Replies
      Reply
Add comment
Load more...

‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
View my complete profile
Powered by Blogger.