
Rais Jakaya Kikwete akipokea cheti cha Udaktari wa Afya ya Jamii (Public Health) Honoris Causa toka kwa makamu mkuu wa Chuo kikuu cha Sayansi na Afya Shirikishi Muhimbili, Prof Ephata Kaaya ikulu jijini Dar es salaam. Kikwete alitunukiwa shahada husika mwaka 2010
hiyo comment za kijinga tuondoleee
ReplyDeleteau umeipenda