Ustaadh Ntayega kumbe huwa unapita bila kuacha unyayo! Najua maeneo ya Toronto hamna baridi kama huku. Anyways tuombeane lipite hili winter. Hicho kijasho hapo juu kisikutishe ni mambo ya mahanjumati ambayo bi mkubwa huyaita mahanjimati. Mpe zake salamu.
Aisee Mhango, Texas huku ikiwa 30 degrees watu tunatafutana. Huko naona mnaimudu hiyo baridi!
ReplyDeleteHuku na Texas kifo na usingizi ndugu yangu. Winter huku ni -37 na watu tunaishi utafanyaje? Nakushukuru Jaribu kwa kunipitia ugani.
ReplyDeleteHamna tabu, Mhango. Ndege wa manyoya ya kufanana wanaruka pamoja, au something like that.
ReplyDeleteSheikh wangu baridi hilo l mbugani linakutoa jasho
ReplyDeleteUstaadh Ntayega kumbe huwa unapita bila kuacha unyayo! Najua maeneo ya Toronto hamna baridi kama huku. Anyways tuombeane lipite hili winter. Hicho kijasho hapo juu kisikutishe ni mambo ya mahanjumati ambayo bi mkubwa huyaita mahanjimati. Mpe zake salamu.
ReplyDelete