Sixteen years ago my wife Nesaa and I ceased to be bachelors. We quit the camp and joined together in our nest. As year went by, we're blessed with six children. We thank Lord that for all those years our marriage has been rosy and enjoyable. If we were to be asked whom we would like to marry, the answer would be the same even a million times. Satisfied, cherishing each other, loving and caring, we still believe that we are closer than even the day we first met. Hatujutii kuoana na kila siku tunaona kama ni siku ya kwanza kuonana.Unaweza kusoma ujumbe aliotuma mamsap kwenye link hii chini. Nimempa ujumbe gani? Siri kubwa.
http://www.smilebox.com/playBlog/4d7a637a4e5449314e54493d0d0a&blogview=true

Hongera sana kwa kutimiza miaka kumi na sita ya ndoa kwani si mchezo kwa kweli na nawatakienikila la kheri. Halafu mmependeza kweli:-)
ReplyDeleteShukrani da Yacinta. Na sala zako naamini zimefika Aamin nawe ubarikiwe katika ndoa yako.
ReplyDeletehongereni wapendwa
ReplyDeleteKila la heri na baraka tele....Mungu awazidishie miaka mingi zaidi na zaidi ya ndoa yenu!! Happy Anniversary MR&MRS MHANGO!!!
ReplyDeleteWapendwa Anonymous na Miss K,
ReplyDeleteShukrani kwa heri na salamu zenu. Tunaamini Mwenyewe Mwenyezi Mungu amesikia na kuridhia. Nasi twawatakieni maisha mema yenye ufanisi furaha na upendo.
Nkwazi kwa niaba ya Nesaa.
Hongereni sana jamani. Miaka 16 siyo mchezo jamani. Mungu Aendelee kuwabariki tena na tena...AMEN !!!
ReplyDeleteMsangu ndugu yangu uko wapi? Kila siku huwa nalalamika kwa shemeji yako kuwa huenda kitu kibaya kimekutokea. Ni faraja kupata ujumbe wako. Tunashukuru kwa kututakia heri. Je kaka nini kilikusibu hadi ukakimbia uga wako? Niruhusu niutangazie ulimwengu kuwa umetoka mafichoni.
ReplyDeletehongera sana
ReplyDeleteChris Mgaya tunashukuru kwa salamu zako. Tunakutakia kila la heri katika kila ulifanyalo.
ReplyDelete