Friday, 21 March 2014

Hii picha ni kanali nani wajameni?

4 comments:

  1. Dokta Rais Kanali Jakaya Mrisho Kikwete

    ReplyDelete
  2. Anon
    Sina uhakika kama umepatia.Maana mwenye picha hiyo hapo juu hajawahi kusoma zaidi ya shahada moja. Hivyo si daktari.

    ReplyDelete
  3. Kiongozi mjeshi aliwahi kukaa zanzibar kikwajuni alipokua jeshini baadae kuwa kiongozi wa juuu kabisa wa usalama wa Taifa pia ni daktari.

    ReplyDelete
  4. Anon hapo juu hujapatia. Huyu wala hajawahi kuwa kiongozi wa majeshi. Nikuibie kidogo. Aliwahi kuwa Casanova na mwenda kwenye madisco usiku na hakukubali kuwa alikuwa mzee.

    ReplyDelete