Tuesday, 15 July 2014

Kikwete: Msanii anayependa wasanii kuliko wapiga kura



 Baba wa taifa Marehem Mwalimu Julious  Nyerere alipomkataa Jakaya Kikwete akisema hakuwa amekomaa kuwa rais wa Tanzania wengi walidhani kuwa angekua. Ni bahati mbaya kuwa Kikwete alikataa kukua akaendelea na utoto na uhovyo tangia pale hadi alipoingia madarakani. Na hakika, ataondoka na utoto na uhovyo wake. Hapo juu anaonekana akipiga picha ya pamoja na wasanii toka Marekani. Wenye akili wanajiuliza: Kama rais atakutana na hao wasanii na waziri husika atafanya kazi gani? Je anapata wapi muda kukutana na watu wasio wa hadhi yake? Je anatumia itifaki ipi kufanya haya mauza uza? Hakika Kikwete ni msanii anayependa wasanii wenzake kuliko wapiga kura.

1 comment:

  1. Fuck sura havinunuliki
    Tunataka busara na weledi
    Ikulu ya tanzania imekuwa Kama geto
    Hata mateja wanajali kwa ikulu Toba
    Nyerere alisema ikulu ni mahali patakatifu
    Means tuheshimu dola
    Leo hii kuna Watu wanamwita First Lady shemeji
    Toba
    Ole wenu 2015 mwisho wenu
    Japokuwa kizee Sita kibaraka wa CCM anataka kupinda sheria Chonde Chonde mtatujuwa Watanzania bila UKAWA hakuna katiba, hata uchaguzi 2015 tunataka tume huru ya uchaguzi tunataka
    Kila chama ki we na mjumbe then wao wachague mwenyekiti that's fair

    ReplyDelete