Tuesday, 22 July 2014

Kumbe mzee Pinda mhuni!

Sijui kwa umri na hadhi yake kama aina hii ya salamu inamfaa. Nakumbuka mhuni mwingine aliyekuwa rais aliyezoea kuwaamkia watu mambo asijue ndiyo uvivu wa  kufikiri wenyewe. Sikujua kuwa kumbe tunaendelea kutawaliwa na wahuni walioamua kutelekeza itifaki na maadili na kuingiza uhuni na madili.

20 comments:

  1. Kimpya kingi kina kishindo
    Tuna najuwa mengi ya pinda tangu chuo cha Sanaa Bagamoyo hadi mke mpya na hata waliomukweka madarakani yetu macho
    Lakini safari za uk na SA zinatija gani kwa Tanzania ?

    ReplyDelete
  2. Anon mwaga kila mtu ajionee. Huu ndiyo uwanja wenyewe. Tafadhali usiogope.

    ReplyDelete
  3. Napenda blog yako I font care Kama vibaka gosh au wapambe wa Tanzania wana angalia IP Adress zetu
    Kwani hata tukipenda bongo tuna pasi za ulaya hawatuulimboki NGO

    ReplyDelete
  4. Tunasema yote ya bongo
    Na wakatuletea Watanzania wanapenda maendeleo ya tanzaniawo ikulu , usalama wa taifa , polisi , jwtz, na raia
    Tutasema mengi ikifka uchaguzi Mwakani hasa kwa mgombea wa CCM

    ReplyDelete
  5. Anon usemayo ni kweli. Kama wote tutaongopa kuKolimbwa nani ataitetea Bongo yetu? Huu ni uwanja wa wasio na sauti kusemea watakavyo bila kubanwa.

    ReplyDelete
  6. Anon usemayo ni kweli. Kama wote tutaongopa kuKolimbwa nani ataitetea Bongo yetu? Huu ni uwanja wa wasio na sauti kusemea watakavyo bila kubanwa.

    ReplyDelete
  7. Wamemchagua pinda waziri mkuu kuficha kombe kwa ajili ya afya yake ndo maana Hana maneno pamoja na aliyemchaguwa wote njia moja
    Ndo Hawana midomo kwa mafisadi wanachaguliwa Watu kazi Yao kupitisha tu
    Ndo maana hata watoto Kama Riziwani anateulwa Watu ikulu inapitisha
    Ukitaka cheo bongo muone Riziwani kesho u Dc au Rc

    Kesho story ya RC wa pwani Mwatumu Mahiza

    ReplyDelete
  8. Sofia simba,
    Na wengine wengi
    Tu natafuta data saa hizi

    ReplyDelete
  9. Chakuanzia tu
    waziri simba , alidiliki na kukili mbele ya vyombo vya habari akitembea na mume wa mtu mzee kitwana Kondo na akazaa naye mtoto kweli CCM nampa madaraka mtu Kama Kama huyu mwizi kwa waume za Watu anawezaje ku uongozi wizara ya kina mama
    Mwatumu vile vile alikuwa bibi wa mungai wakati anafundisha shule ya uhuru mchanganyiko na mungai enzi alimununulia dildo mwatumu asimbee na wanaume wengine cv yake ina uongo
    Alipokuwa naibu waziri wa elimu

    ReplyDelete
  10. Wanawake waliopata madaraka tangu awamu
    Ya pili wengi wao walitembea na mzee kitwana Kondo
    Kisha hisani yake aliyotenda kwa mzee rukhusa alipojiuuzulu u waziri kashfa ya mauaji ya Shinyanga na mwanza
    Wengi wao ni sifuri Kabisa

    ReplyDelete
  11. Huyu mwatumu mahiza alikuwa bibi wa mungai wakati huo mungai waziri wa elimu
    Mahiza alikwenda Norwary kwa summer school only 2 month kwe cv yake alipokuwa naibu waziri tena ya elimu
    Aliandika ana diploma ya elimu
    Jamani diploma gani duniani inapatikana kwa miezi miwili
    CCM vilaza wengi

    ReplyDelete
  12. Dr Mary Nagu dr wa chuo gani
    Amezaa na Sumaye rais mtarajiwa huyo mtoto ukimuona photo copy ya sumaye
    Kweli sumaye anafaa Kuwa rais iwapo hakuridhika na tendo la ndoa na mkewe na kuzaa nje ya ndoa akipewa urais wake zetu wamekwisha jamani na gonjwa hili

    ReplyDelete
  13. Mwingine mvaa shungi sura Hana wala shepu
    Waziri tukamisemi hawa bin ghasia
    Na kweli ghasia
    Ana mdomo na nyodo
    Kisa jakaya shemeji yake
    Anatukana Watu bungeni kana kwamba yeye ndo mungu

    ReplyDelete
  14. Makubwa hayo!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  15. Anon hapo juu michango yenu ni ya maana sana ila jaribuni kwenda ndani na kutoa ushahidi katika yale tunayoongelea. Taratibu tutafika. Huu ni mwanzo mzuri. Kwani yapo mengi ya kujifunza.

    ReplyDelete
  16. Simeni yote tujuwe kwani Mwakani uchaguzi
    Na hapa ndo kwenyewe hakuna mchujo
    Hapa ni ukweli na uwazi
    Watafungia magazeti ya Tanzania lakini NGO hawawezi
    Mpayukaji it's no one and it's for Tanzanian benefit

    ReplyDelete
  17. Anon nashukuru kwa kunitia moyo. Ni kweli hawawezi kunifungia zaidi ya kujaribu kunihujumu kwa kutuma virusi. Endeleeni kumwaga data hapa ziko salama na zinatoka bila kuguswa wala kuchakachuliwa kama yale mablog ya vibaraka na waramba matako ya CCM.

    ReplyDelete
  18. Tutasema yote mshikaji
    Nilisoma kwenye mtandao rais anasema kuna Watu wa naandika only mabaya ya Tanzania
    Cha kushangaza. Hata waandishi wake wa habari hawakwenda shule wengine Walikuwa Wiiga Picha eti Leo mwandishi wa rais AMA kweli Msata hiyo

    ReplyDelete
  19. Mkitaka kujua Siri ipo London kuna shoga kanunuliwa nyumba na kigogo wa serikali shoga huyo anatamba London nzima wanajuwa
    Kesho ntaanika hadi house street even no

    ReplyDelete
  20. Anon Tisa kumi
    Huyu
    Hawa bin ghasi kweli shombo bungeni hadi ofisini hatumpendi ofisini ukivaa nguo nzuri kwa sisi wanawake husema siyo heshima
    Yeye shungi lake na nguo mpk miguuni anafisha kasoro
    Mwanamke simpendi huyu tangu kaja wizarani hatuna raha
    Ana nini kijimaster cha mzumbe kisa jk shemeji yake yote yanamwisho wewe hawa

    ReplyDelete