Monday, 28 July 2014

Mkono wa Idd unapogeuka rushwa ya Idd!

Pichani ni mbunge wa Temeke (CCM) Abass Mtemvu akitoa box lenye zawadi za vikombe, vijiko. chupa ya chai na upuuzi mwingine kama mkono wa Idd. Unajiuliza, zawadi gani ina picha ya rais kama siyo rushwa ya Idd? Hata ukiangalia kinachoitwa zawadi ni udhalilishaji na umaskini mtupu. Viongozi wetu na wanasiasa wataacha lini kutukana dini kwa kuzitumia kisiasa?

6 comments:

  1. D Yacinta kazi kweli kweli. Umeiona hiyo?

    ReplyDelete
  2. Zawadi zimetolewa na mbunge mtemvu au kikwete
    Mbona mambo bongo poleni

    ReplyDelete
  3. Zawadi zimetolewa na mbunge mtemvu au kikwete
    Mbona mambo bongo poleni

    ReplyDelete
  4. Anon hata nami nilishangaa upuuzi huu. Matapeli watupu!

    ReplyDelete