Monday, 28 July 2014

Picha ya mwezi ya blog hii

Tulitoa picha hii katika maadhimisho ya ndoa yetu hapo Julai 18. Katika kuangalia picha za mwezi huu, tumeona tujipendelee angalau turejeshe picha hii kwa vile ilionekana kuwa picha nzuri ya mwezi huu.

7 comments:

  1. Ni kweli ni picha nzuri na HONGERENI SANA kwa siku yenu ya ndoa ila hamjasema ilikiwa miaka mingapi:-) kapulya huyooo

    ReplyDelete
  2. Asante da Yacinta. Tunaikimbiza ishirini hivi. Tunamshukuru Mungu.

    ReplyDelete
  3. Mnapendeza kweli kweli.

    ReplyDelete
  4. Ahsante kaka Mhango kujibu...Hongera sana kwa mara nyingine tena. Na mlitokezea safi wenyewe

    ReplyDelete
  5. Shukrani tena da Yacinta kwa hongera zako. Ubarikiwe sana.

    ReplyDelete
  6. Mkuu mnatisha sana. Mmetoka kweli kweli. Hongera sana.

    ReplyDelete
  7. Anon tunakushukuru sana. Ubarikiwe sana nawe.

    ReplyDelete