Sunday, 27 July 2014

"Shehe" Peter Kayanza Mizengo Pinda aandaa futari akimbia swalat!

Waziri mkuu Mizengo Pinda akifurahi na wasanii
Rais Kikwete akiwasili kwenye makazi ya Pinda
Wala pilau wakiswali baada ya futari aliyoandaa Pinda.

Waziri mkuu Mizengo Pinda akifurahi na wasanii waliokuja kula futari kwake ambayo ilihudhriwa pia na shehe mkuu mufti Shabaan Simba na rais Jakaya Kikwete. Pinda amesaidia kufumbua kitendawili kuwa hizi futari tunazoona si futari chochote bali usanii. Futari gani inaandaliwa na mtu asiye wa dini ile? Mbona huko nyuma hatukuwahi kuyaona haya au uislam nao umebadilika?

6 comments:

  1. Jamani Toba Toba
    Na swala hapo

    ReplyDelete
  2. Lowassa fanya kweli nawe siku ya idd
    Maanake itakuwa rukhusa hata vilevi
    Utatupata wengi tunywe tucheke rais wetu mtarajiwa
    Kama utaka urais shurti futarisha

    ReplyDelete
  3. Anon mnafurahisha. Toba eti? Hili la Lowassa kufuturisha akatoa na kanywaji limeniacha hoi. Jamani tuache masihara na funga hata kama hawa wahuni wameamua kuigeuza sanaa za kutafutia ulaji na umaarufu kisiasa. Isifikie mahali na vyangudoa nao wakatumia pesa ya kuuza miili yao kutuandalia futari. Sofia Lion upo hapo?

    ReplyDelete
  4. Party ya Lowassa haina kadi , mguu wako tu

    ReplyDelete
  5. Misikiti hakuna
    Msitushie imani zetu kwa uhoro wenu wa madaraka na kujipendekeza

    ReplyDelete
  6. Anon usemayo ni kweli. Ni kama aina fulani ya ushenzi na ufisadi unaoingizwa kwenye dini.

    ReplyDelete