Thursday, 14 August 2014

Nani alaumiwe hapa

A boda boda takes six children to school in Kisumu. They had to hang on to his jacket to avoid falling off. PHOTO | JACOB OWITImotorbikecow
Hapa nani alaumiwe kati ya serikali zinazoruhusu jinai hii, wanaoendesha boda boda na abiria? Ama kweli usikia dunia gunia ndiyo huku. Jamani tumeshindwa hata ubunifu wa kwenda mbele badala yake tunafanya ubunifu wa kwenda kuzimu? Je ni shida au ukosefu wa ubunifu wa maana? Ni maswali binafsi tu. Je wewe unaonaje hapa?
                                                                                             

4 comments:

  1. Ubadhirifu na rushwa ndiyo matokeo yake

    ReplyDelete
  2. Anon usemayo ni kweli tupu kuwa ubadhirifu umeingia vichwani sasa.

    ReplyDelete
  3. CCM kwani ndo serikali yetu
    boda boda wengi wao ni makada wa CCM
    Bongo hufanyi biashara kama si CCM

    ReplyDelete
  4. Anon umeniacha hoi. Sasa nimelewa kuwa hata hii biashara ya bangi na ujambazi ina ufadhili wa CCM nyuma yake.

    ReplyDelete