Free Thinking

I Fear Nothing But Fear Itself

Friday, 20 April 2012

Kikwete na washikaji zake janga la kitaifa



Nimefanikiwa kupata picha toka Sao Paulo ambapo washikaji wa Jakaya Kikwete walipelekwa kutanua huku taifa letu likiendelea kuteketezwa na mapanya aliowapa uwaziri yeye asijali. Si mawaziri tu. Hata washikaji zake anaonadamana nao kwa kificho bila hata kutangazwa na vyombo vya habari ni janga la kitaifa. Tumekuwa tukilalalmikia kutotangazwa idadi na majina ya watu anaoandamana nao rais kwenye ziara zake ughaibuni. Bahati nzuri wenyewe wanamuumbua mtu wao kwa kujianika kwenye blog mbali mbali kiasi cha kutufanya tuhohi hao wote wanapelekwa kule kufanya nini kama siyo kuendelea kuongeza deni la taifa? Je hii si hongo kwa baadhi ya watanzania ili watetee uoza wa Kikwete?
Ndugu Nkwazi N Mhango at 05:59

1 comment:

  1. Anonymous24 April 2012 at 00:21

    kuna mmoja anamniliki blogu nimeacha kabisa kuitembelea sku hizi, ni mzushi vibaya

    ReplyDelete
    Replies
      Reply
Add comment
Load more...

‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
View my complete profile
Powered by Blogger.