Thursday, 17 May 2012

Donna Summer hatunaye


Donna Summer

Wale wa kizazi cha mwaka 47 bado wanamkumbuka mwanamuziki nguli na machachari La Donna Adrian Gaines (Decemba 31, 1948 – Mei 17, 2012) Donna Summer hatunaye tena. Kwa mujibu wa msemaji wa familia yake Donna Summer amefariki leo asubuhi. Mungu aiweke pema peponi roho ya marehemu. 

No comments:

Post a Comment