Thursday, 28 June 2012

Hivi kweli Jakaya ni mzima?


Rais Jakaya Kikwete ameuchapa usingizi utadhani hana kitanda.

5 comments:

  1. Usingizi hauna cha raisi unapochoka ni kuchoka tu na usingizi unakuja....

    ReplyDelete
  2. duka la picha?
    kwani wewe hulali huyo pia anahitaji usingizi au?

    ReplyDelete
  3. Wacha kumdhalilisha Rais wetu hiyo picha ya kutengeza tafuta original photo u will see the diff

    ReplyDelete
  4. he he he he he kazi ipo mwaka huuu KIRUUUUUUUUUUUUUU

    ReplyDelete
  5. Rais anadhalilishwa au anajidhalilisha?

    ReplyDelete