Free Thinking

I Fear Nothing But Fear Itself

Thursday, 20 September 2012

Fasheni au uchokozi


    Picha ya pili licha ya kuonekana kwenye Jamii Forums nilitumiwa na mtani wangu akitaka mawazo yangu. Ujumbe wake ulikuwa wa kuchekesha kiasi cha kufanya nipate kichwa hicho cha habari. Leo nimeamua kuandika utani kwa kujiburudisha nikiamini nitawaburudisha wasomaji wangu. When you see a camel donned in western fashion believe me change is coming.  Je kondoo angevishwa kanzu ingekuwaje?
Ndugu Nkwazi N Mhango at 18:21

1 comment:

  1. Anonymous21 September 2012 at 02:13

    Kanzu ipi unayosema wewe ile ya mapadri kama ya desmon tuta? au kadinali utunga maana wote wanava kanzu hao

    ReplyDelete
    Replies
      Reply
Add comment
Load more...

‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
View my complete profile
Powered by Blogger.