Free Thinking

I Fear Nothing But Fear Itself

Monday, 15 October 2012

Nini tafsiri yako ya picha hii

Wapo wanaodhani tunatangaza utalii huku wengine wakidhani tunahonga wanyama wetu kwa jamaa hawa. Sijui jamaa atapewa kanzu au msuli? Maana jezi keshapewa sana. Kesho msishangae kusikia ndege nyingine ikisafirisha wanyama hai na hakuna atakayeguswa. Wengi walidhani angalau Kikwete angeulizia ni kwanini Falme za Kiarabu zinatuibia wanyama. Je anaogopa kuambiwa kuwa tuliwauzia kwa ufisadi wetu? Nini tafsiri ya picha hii?

Ndugu Nkwazi N Mhango at 16:21

3 comments:

  1. Anonymous16 October 2012 at 05:14

    mkuu hebu picha weka ndogo ili tuweze kuona kwa uzuri pangilia
    tafahali

    ReplyDelete
    Replies
      Reply
  2. Jaribu16 October 2012 at 10:10

    Alvyokuwa buda anaweza kupewa tende tu akaridhika.

    ReplyDelete
    Replies
      Reply
  3. Anonymous21 October 2012 at 05:53

    Sikupenda rais wangu akabidhi zawadi inayogusa rasilimali za nchi.

    ReplyDelete
    Replies
      Reply
Add comment
Load more...

‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
View my complete profile
Powered by Blogger.