I Fear Nothing But Fear Itself
Thursday, 1 November 2012
Rais wetu kijina anazidi kuwa kijana
Rais Jakaya Kikwete akiangalia kopo la tangawizi huko Mambakati Same alikozindua kiwanda cha Tangawizi. Kumbe uzee ushamnyemelea! Inaonekana hapa watu wake wa saluni walisahau kumpamba vilivyo kama siyo wapiga picha kukosea angel ya kuchukua picha.
1 comment:
Anonymous
1 November 2012 at 17:15
Kumbe JK mwenyewe kibabu! Kweli ukubwa unaficha mengi.
Reply
Delete
Replies
Reply
Add comment
Load more...
‹
›
Home
View web version
Kumbe JK mwenyewe kibabu! Kweli ukubwa unaficha mengi.
ReplyDelete