Sunday, 2 December 2012

Familia ya Kikwete bingwa wa kila kitu

Hakika huu ni usultani unaojengeka taratibu. Mume anapompa  mkewe tuzo kama ilivyotokea hivi karibuni ambapo rais Jakaya Kikwete pichani akimkabidhi tuzo  mkewe Salma wakati wa siku ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi Dunia mjini Lindi juzi.

4 comments:

  1. asante mheshimiwa Rais a.k.a Daktari kikwete endelea kutuongoza Wa Tanzania.

    ReplyDelete
  2. Asante Bi Salma kwa kazi ngumu unzofanya kwa jamii ya wa tanzania
    ilikuwa upewe na shahada ya Phd pia lakini usife moyo wakati bado upo 1215

    ReplyDelete
  3. Au vipi wajameni, Bi Kikwete anastahili Phd kama mumewe. Si unajua, usawa wa jinsia!

    ReplyDelete
  4. hahahahahaaaaa...! Kazi kwelikweli bt she dsv't

    ReplyDelete