Yeye ni kweli mtoto wa mkulima, pete mbili kidole kimoja, saa yenye mkanda unaopwaya, macho mekundu kama anapikia mafiga ndani; unless seasonal allergies ndio zinamwivisha macho.
Shida ni kwamba anapenda bling-bling lakini hajui ku-accessorize. Anahitaji shoga mmoja ampe tips za kupangilia accoutrement.
hahahahahahahahah hiyo kali tumpe jina I choose PINDALICIOUS!! Huu ushamba mwingine bwana...badala ya kuiga mambo ya kusaidia wananchi ni ujinga tu!!!!
Yeye ni kweli mtoto wa mkulima, pete mbili kidole kimoja, saa yenye mkanda unaopwaya, macho mekundu kama anapikia mafiga ndani; unless seasonal allergies ndio zinamwivisha macho.
ReplyDeleteShida ni kwamba anapenda bling-bling lakini hajui ku-accessorize. Anahitaji shoga mmoja ampe tips za kupangilia accoutrement.

ReplyDelete