Tuesday, 18 March 2014

Jamaa wa Constipation Assembly sijui wakiiona hii wanapata somo

4 comments:

  1. Da Yacinta ni kweli kuwa ni kazi kweli kweli. Hata hivyo, ni jukumu letu kuhakikisha tunaifanya hii kazi ya kulikomboa taifa letu toka kwenye makucha ya manyang'au.

    ReplyDelete
  2. Mpaka Leo sijaelewa kwanini makao makuu hayajahamia Dodoma , Kila kukicha ikulu inakarabatiwa kwa mabilions mawaziri wana nyumba Dodoma na dar
    Tanzania ni nchi pekee duniani yenye makao mawili
    Na ni nchi maskini duniani yenye utajiri wa madini, rasilimali
    Dodoma ilikuwa sera ya CCM
    Tupige kura ya moani

    ReplyDelete
  3. Hakuna cha kukarabati ikulu bali wakubwa wanatumia fursa hii kutuibia tu. Nakumbuka alianza Mkapa akatoa tenda kwa shemeji zake wakamkatia chochote kitu. Kimsingi, anachofanya Kikwete sasa ni kufuata nyayo. Kila ujambazi aliotenda Mkapa naye anaurudia hata na kuzidisha.

    ReplyDelete