Jaribu usemayo ni kweli. Maana kwa haraka haraka naona aliyepiga kura hauruhusiwi kisheria na anayeruhusiwa anchelekea bila kujua kuwa kitendo cha kupiga kura ni kutumbukiza ile kura kwa mkono wa mhusika mwenyewe. Ana bahati kuwa kupiga kura si lazima. Ajabu anayefanya hivyo tunaambiwa ni mwanasheria mwenye masters katika sheria!
Anon huna haja ya kuhofia ujinga sana ingawa ujinga ni kutoelewa. Si watanzania wote ni wajinga kiasi hicho ndiyo maana kuna upinzani hata kama hauna mshikamano. Hivyo kuna siku hawa wajinga wanaowala wajinga wenzao watanyolewa tena bila maji.
Sheria wnajua hao? Ni kuropoka tu kuhusu utawala wa sheria.
ReplyDeleteJaribu usemayo ni kweli. Maana kwa haraka haraka naona aliyepiga kura hauruhusiwi kisheria na anayeruhusiwa anchelekea bila kujua kuwa kitendo cha kupiga kura ni kutumbukiza ile kura kwa mkono wa mhusika mwenyewe. Ana bahati kuwa kupiga kura si lazima. Ajabu anayefanya hivyo tunaambiwa ni mwanasheria mwenye masters katika sheria!
ReplyDeleteHata kitambulisho hana na wala hakuulizwa..Kaaazi kwelikweli.
ReplyDeleteNdiyo Bongo yenu iliyonajisiwa na ujinga na ufisadi hiyo.
ReplyDeleteHapa wapiga kura nao ni sehemu ya tatizo
ReplyDeleteNa tutunze ushahidi huu wa taswira siku itakapowadia utuweke wazi.
ReplyDeleteJamani, nilipokuwa ngumbaro huko walinifunza kuwa "wajinga ndiyo waliwao".
ReplyDeleteKwa kuangalia picha hii (U18) anapiga kura, inaniudhi kweli.
Hii inaashiria "ujinga" ndani ya Tanzania yetu sasa.
Ombi: Ninataka kuendelea kuwa mtanzania lakini si mjinga, nifanyeje? Au ni lazima kwa kila mtanzania kuwa mjinga ili aliwe?
Anon huna haja ya kuhofia ujinga sana ingawa ujinga ni kutoelewa. Si watanzania wote ni wajinga kiasi hicho ndiyo maana kuna upinzani hata kama hauna mshikamano. Hivyo kuna siku hawa wajinga wanaowala wajinga wenzao watanyolewa tena bila maji.
ReplyDeleteMa ubaya wa ujinga unaotawala ni kwamba hauelewi kuwa ni ujinga. Hamna kitu cha kuchekesha kama mjinga anayejiona mjanja!
ReplyDelete