Saturday, 30 August 2014

Picha ya mwezi

Kuandamana na bi mkubwa kwenye utendaji muhimu.  Au vipi? Tulipendeza eh! (Picha ilipigwa na binti yetu Ndiza)

8 comments:

  1. Yaani mlitokezea ile mbaya ama kweli picha ya wiki. Nimeipenda sketi ya wifi yangu...:-)

    ReplyDelete
  2. Da Yacinta shukrani na nitamwambia wifiyo akutafutia nyingine kama hiyo. Ubarikiwe na familia yako.

    ReplyDelete
  3. hapo mwake hakuna ziada ya kuongeza mwalimu!

    ReplyDelete
  4. Anon nakushukuru si vibaya kuongeza hata japo ziada kidogo au vipi?

    ReplyDelete
  5. Kweli mmependeza.

    ReplyDelete
  6. Anon tunakushukuru sana na karibu tena uache unyayo kila upitapo hapa.

    ReplyDelete
  7. Duh! Nitsfurahi...kwa mara nyingine tena mmependeza sana

    ReplyDelete
  8. Shukrani da Yacinta kwa kuwa mgeni wetu wa mara kwa mara. Ubarikiwe na kupendekeza pia.

    ReplyDelete