Saturday, 14 February 2015

Yuko wapi Rahma Kharoos malkia wa Bongo?


Hii manzi ya bwana mkubwa kiranja imefichwa wapi siku hizi? Tuliiandama hadi ujumbe ukafika? Au ndiyo mambo ya Dubai?  Hakika Rahma Kharoos alitingisha kabla hatujamgutukia hadi akatimua mbio.

4 comments:

  1. Oops yupo Dubai tumekwisha

    ReplyDelete
  2. Yale yale lazima awepo mtu wa kupokea njuluku zinazotoroshwa Bongo. Hii ni kuonyesha kuwa kila kitu kinajulika.

    ReplyDelete
  3. wacheni ujinga huo umemwadama mwisho uka shusha silaha chini
    kuwa MPIGANAJI WA KWELI

    ReplyDelete
  4. Anonymous unamaanisha nini? Sema usikike kwa lugha rahisi na inayoeleweka.

    ReplyDelete